Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Zimefika wakati ambao Watanzania wameichoka CCM
 
Habari wanaJF,

Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

zaidi ya tote kumtumaini mungu no jambo la msingi
 
Msingi wa maendeleo ya mtu ni matamanio na jitihada,msingi wa maendeleo ya nchi ni siasa safi.
 
Yao yamewashinda je ya nkurunziza watayaweza? By Omygad
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom