007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 483
Salamu zilizotumwa kutoka kwa Ney kuhusu Lowasa,2015 kukogombea Uraisi zimefika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana yupo tu ukiona kimya ujue majukumu!
Habari wanaJF,
Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
zaidi ya tote kumtumaini mungu no jambo la msingi
Yao yamewashinda je ya nkurunziza watayaweza? By Omygad
Omygad unazingua unapenda sana mention ndo maana unamaliza na jina lako.
Lako penzi lanifanya nion maisha matamu
Matamu ntakuonjesha wala hautokinai
Hautokinai pia pale utakapoonja langu tunda
Tunda zuri ni lile lililodondoshwa mtini leo leo
Mention any two presidential candidates who fit this year's election