hii hii nnayoifahamu mimi au nyingine?
Nyingine? Hii hii 😂hii hii nnayoifahamu mimi au nyingine?
Hii kwangu ni faraja na kwenu ni ahweni !!Nyingine? Hii hii 😂
Ahweni kwa ajili tu ya hiiHii kwangu ni faraja na kwenu ni ahweni !!
Hii sasa ni kutafuta kicki...😎Ahweni kwa ajili tu ya hii
Kicki itakua hiiHii sasa ni kutafuta kicki...😎
Hii ishara ya uswahiba...Kicki itakua hii
Uswahiba ni kusaidiana kwa shida na rahaHii ishara ya uswahiba...
Karaha..!! Ingekuwa hivyo usingekuwa una komenti leo.Raha ni ya wawili tu akiongezeka watatu ni karaha.
Leo ndiyo mkusanyiko wetu wa kujadili..Karaha..!! Ingekuwa hivyo usingekuwa una komenti leo.
Kujadili kuhusu niniLeo ndiyo mkusanyiko wetu wa kujadili..
Nini kilichowafika memba wavivu?Kujadili kuhusu nini
Wavivu dawa yao ipo jikoniNini kilichowafika memba wavivu?
Jikoni nimebadilisha mfumo wa makabati !!Wavivu dawa yao ipo jikoni
Kitu kizuri kina thamani..