Thiago Silva
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 322
- 177
Mwisho wa ubaya ni aibuElimu haina mwisho
Ila huu uzi una mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa ubaya ni aibuElimu haina mwisho
Ila huu uzi una mwisho
Huoshwa kwa maji na sabuniMwosha nae huoshwa
Tena uwe na aibu kumwaga siri hadharani..Sabuni niliyopigia Puli Mwaka 2003 sitaipata Tena.
Hadharani haifai, puli ipigwe kimya kimyaTena uwe na aibu kumwaga siri hadharani..
Kimya kimya utaumbuka ukiwa ushafarikiHadharani haifai, puli ipigwe kimya kimya
Ushafariki alaf watu wanakuta link za hovyo kwenye browser history ya simu yakoKimya kimya utaumbuka ukiwa ushafariki
Simu yako inaakisi mwenendo wako hapa duniani...Ushafariki alaf watu wanakuta link za hovyo kwenye browser history ya simu yako
Duniani tunapitaSimu yako inaakisi mwenendo wako hapa duniani...
Tunapita na kuacha alama na athariDuniani tunapita
Tunapita kwenda wapiDuniani tunapita
Wapi ulipata ona mvua ya mawe?Tunapita kwenda wapi
Mawe? Haiwezekani ikawa kweliWapi ulipata ona mvua ya mawe?
Kweli imeshatokea huko jangwani !!Mawe? Haiwezekani ikawa kweli
Jangwani watu wanakufa kwa njaaKweli imeshatokea huko jangwani !!
Njaa hata siku mmoja haijauwa mtu, ni kiu cha maji ndiyo mauajiJangwani watu wanakufa kwa njaa
Mauaji ya Kimbari yanasikitishaNjaa hata siku mmoja haijauwa mtu, ni kiu cha maji ndiyo mauaji