Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Yanaskitisha sana na yanahuzunishaMauaji ya Kimbari yanasikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanaskitisha sana na yanahuzunishaMauaji ya Kimbari yanasikitisha
Yanahuzunisha wanandugu walivyo sambaratika bila suluhisho!!Yanaskitisha sana na yanahuzunisha
Suruhisho kujadili janga la dunia coronavirusYanahuzunisha wanandugu walivyo sambaratika bila suluhisho!!
Corona virus ni tishio kwa dunia
Vimesambaa vinasaba dhaifu ktk miili yetu kutokuwa na kinga!!dunia yote vimesambaa
Kinga pendekezi, ni kunawa mikono kwa sabuni kila mara kwa muda usiopungua sekundi 20 kila unawapo.Vimesambaa vinasaba dhaifu ktk miili yetu kutokuwa na kinga!!
unawapo janaba hakikisha unachukuwa udhu kabisa..Kinga pendekezi, ni kunawa mikono kila mara kwa muda usiopungua sekundi 20 kila unawapo.
Kabisa, hata mimi nliliona hiloUnawapo janaba hakikisha maj
unawapo janaba hakikisha unachukuwa udhu kabisa..
Hilo ni zoezi lenye mantiki !!
Mrembo kadumu na urembo wake miaka kumi...
Umemfananisha na mpacha wake aliyetangulia..Kumi..,? Apan si kwelii we labda umemfananisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetangulia kuanzisha huu uzi yuko wapiUmemfananisha na mpacha wake aliyetangulia..
Wapi alipo, mwenyewe namtafutaAliyetangulia kuanzisha huu uzi yuko wapi
Namtafuta ila simpati, sijui kwa nini