Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 783
tunaishi kwa kutegemeana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaishi duniani.Kienyeji tunaishi
Duniani kuna rahaTunaishi duniani.
Raha sanaDuniani kuna raha
Sana hadi inaboaRaha sana
Mawazo yamegawanyika katika pande mbili hasi(-) na chanya(+)lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Inaboa sana tuSana hadi inaboa
We jamaa umechemka hiyo post uliyo reply imetumwa Jun 29, 2012 angali vizuri .ila karibu mgeniMawazo yamegawanyika katika pande mbili hasi(-) na chanya(+)
Sana tu tutafikaInaboa sana tu
Sana tu tutafika
Ahadi ni deniTutafika nchi ya ahadi.
Deni lako ushalipa?Ahadi ni deni
Ushalipa lakoDeni lako ushalipa?
Lako silipi ng'oUshalipa lako
ng'o ni hali ya kukataa kufanya kitu au jambo fulaniLako silipi ng'o
ng'o ni hali ya kukataa kufanya kitu au jambo fulani
Anacheka kweli!, kweli nimecheka🤣🤣 maana nilijua mimi ndo mshindi, jamaa kaamua kuja na definition ng'o.Fulani eti anacheka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'o ukiongeza neno Mbe unapata Ng'ombeAnacheka kweli!, kweli nimecheka[emoji1787][emoji1787] maana nilijua mimi ndo mshindi, jamaa kaamua kuja na definition ng'o.
Ng'ombe wamegoma kula majani makavu