dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Mwanamke anapaswa aheshimiwekati kati ya kanga kuna ukuni ambao hutumika kumpiga mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke anapaswa aheshimiwekati kati ya kanga kuna ukuni ambao hutumika kumpiga mwanamke
Mtu asiyekuwa na adabu hafai...
Hafai kabisa kwenye jamii yetu..,Mtu asiyekuwa na adabu hafai...
yetu ilifika Nyegezi
Nyegezi pana utelezi sanayetu ilifika Nyegezi
Sana sana ukiwa uvaa mtanjeeNyegezi pana utelezi sana
Sent from my SM-A105F using Tapatalk
Mtanjee ni niniSana sana ukiwa uvaa mtanjee
Mtanjee ni nini
Virus hatari kwa afya ya binadamuNini Corona wewe, ebola ilikuja ikaondoka, ila Corona corona corona nakuita mara tatu, uwiii Coronaaaaa Virus
Kamili na imara
Mvua ya theluji na upepo Zamharira !!
Zamharira ni neno la kiswahiliMvua ya theluji na upepo Zamharira !!