Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Imekuwa adimu kupata huduma za halali...kweli siku hizi imekuwa adimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuwa adimu kupata huduma za halali...kweli siku hizi imekuwa adimu
Halali usingizi bila kuniona yule mwanamkeImekuwa adimu kupata huduma za halali...
mwanamke bila chura ni gari isiyo na matairiHalali usingizi bila kuniona yule mwanamke
Matairi achana nayo kwanza hivi Lenie yupo WAP nimemissmwanamke bila chura ni gari isiyo na matairi
Nimemiss mstaarabu wangu ktk kipindi cha falsafa...
Falsafa a.k.a mwana faNimemiss mstaarabu wangu ktk kipindi cha falsafa...
fa nae et aliumwa coronaFalsafa a.k.a mwana fa
Corona inaondoka kwa kukaa Karantinifa nae et aliumwa corona
Karantini ni kama jeraCorona inaondoka kwa kukaa Karantini
Kufika huko usiombe kukaa lisaa limoja unaona kama masaa kumi
kumi ni namba inayovaliwa na lionel messiKufika huko usiombe kukaa lisaa limoja unaona kama masaa kumi
Messi yule wa azam kaenda tp mazembe
Mazembe ni yale yasiyotaka kupiga lockdown kuthibiti corona hii tutakufa kama kuku.Messi yule wa azam kaenda tp mazembe
Mazembe ni yale yasiyotaka kupiga lockdown kuthibiti corona hii tutakufa kama kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona itaisha liniKuku wanaenda kwenye shughuli zao sisi tunabaki ndani kipindi hiki cha corona
Lini sjui itaisha, yaan hata haijulikani
Haijulikani sababu hatujapata DawaLini sjui itaisha, yaan hata haijulikani