Swordsaint
Member
- Apr 22, 2020
- 30
- 21
Dawa imepatikana sema wanaendelea kuijaribuHaijulikani sababu hatujapata Dawa
Kuijaribu wanataja iwe kwa waafricaDawa imepatikana sema wanaendelea kuijaribu
waafrica hususani wanaume inasemekana wanapenda sana mboga za chini. eti ni kweli?
Kweli tutaweza rudi ktk maisha yetu ya awali?waafrica hususani wanaume inasemekana wanapenda sana mboga za chini. eti ni kweli?
Kweli tutaweza rudi ktk maisha yetu ya awali?waafrica hususani wanaume inasemekana wanapenda sana mboga za chini. eti ni kweli?
awali ya yote kwanza tusiache kuvaa barakoaKweli tutaweza rudi ktk maisha yetu ya awali?
Barakoa hizi zina siri kubwa na stara ktk kuzuia upenyaji wa Pollution na harufu yenye karaha !!awali ya yote kwanza tusiache kuvaa barakoa
Behavior ni tabia katika lugha yetu adhimuPia tujitahidi kuvaa sehemu zenye msongamano wa watu Kama Mjini.
Some of people's wakifika mjini wanajiasahau wanatoa
#Mazoea ni kipaji pia#
Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
Karaha kweli kweli ,tuliishia kwenye karaha, Mr posibillity amezinguaBarakoa hizi zina siri kubwa na stara ktk kuzuia upenyaji wa Pollution na harufu yenye karaha !!
Amezingua haswa ndiposa nikakumbuka riwaya moja iliyoandikwa na mwanafasihi nguri marehemu Profesa Euphrase Kezilahabi iitwayo "Dunia Uwanja wa Fujo."Karaha kweli kweli ,tuliishia kwenye karaha, Mr posibillity amezingua
Fujo mwsho wake gerezan au mwochwariAmezingua haswa ndiposa nikakumbuka riwaya moja iliyoandikwa na mwanafasihi nguri marehemu Profesa Euphrase Kezilahabi iitwayo "Dunia Uwanja wa Fujo."
Mochwari panatisha
Fika ngorongoro ujionee nyumbuKumbe panatisha mm sjawahi fika!!
Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
Mbugani maalum kwa wanyama, binadamu hatustahili kuishiNyumbu wangekua na pesa wadada wa kibongo wangejazana mbugani
Sent from my FIG-LX1 using JamiiForums mobile app
Kuishi Nako raha unajionea Mengi