dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Mbinu ya kumjua mchawi mpe mwanaoKuwatambua huwa nashindwa mkuu ebu nipe mbinu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu ya kumjua mchawi mpe mwanaoKuwatambua huwa nashindwa mkuu ebu nipe mbinu
Mbinu ya kumjua mchawi mpe mwanao
Amlee ili iweje?MPE mwanao amlee
Iweje comment yako ndo ya mwisho?Amlee ili iweje?
Mwisho wa reli ni kigomaIweje comment yako ndo ya mwisho?
Mwisho wa reli ni kigoma
Muyoyosi ndio nini?Kigoma kuna msitu unaitwa muyoyosi
Yesu ndo mwenye jibuMuyoyosi ndio nini?
Nini kimewaingia wanasiasa wa Tanzania hadi kumfananisha Magu na Yesu?
Jibu ulilompa lime muhudhuninisha sana mwenzioYesu ndo mwenye jibu
Sasa ni wakati muwafaka wa uchaguziUnapendwa mwanamke wewe acha kulingia uzuri wako
Wanawake wazuri walikuwepo ila wako wapi sasa.
Mwenzio yupo ktk matatizo ya kifamiliaJibu ulilompa lime muhudhuninisha sana mwenzio
Kifamilia? Wakati alifumaniwa anaiba pesa za shirikaMwenzio yupo ktk matatizo ya kifamilia
Shirika la afya duniani limetoa tahadhari juu ya magonjwa ya mlipukoKifamilia? Wakati alifumaniwa anaiba pesa za shirika
Mlipuko wa corona umesaidia watu kuwa wasafi hadi tukaweza kuepukana na kipindupindu mwaka huuShirika la afya duniani limetoa tahadhari juu ya magonjwa ya mlipuko
Huu mwaka wa uchaguziMlipuko wa corona umesaidia watu kuwa wasafi hadi tukaweza kuepukana na kipindupindu mwaka huu
Uchaguzi wa mwaka huu tujiandae kushuhudia vituko na maajabu mengiHuu mwaka wa uchaguzi
Mengi mme wa K-lyinUchaguzi wa mwaka huu tujiandae kushuhudia vituko na maajabu mengi
K-lyin aliwai kuwa miss Tanzania na mwimbajiMengi mme wa K-lyin