T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Huku ndani kuna vituko sanaMzima kuliko wote humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku ndani kuna vituko sanaMzima kuliko wote humu
Kati ya biashara na ajira ipi ahweni ?Muda wa ugali kwa nchi yetu ya uchumi wa kati.
Kati ya biashara na ajira ipi ahweni ?
Ahweni ni kuongeza kipato kwa kufanya kazi zako binafsi
Buguza?!!? Samahani ndg mpendwa ni bughudha ni neno la kistaarabu !!Binafsi bila buguza
Mwisho wa hoja ndiyo mwanzo wa Malumbano !!Hatimaye nimekua wa mwisho
Malumbano ya hoja ni kipindi kinachorushwa na ITVMwisho wa hoja ndiyo mwanzo wa Malumbano !!
ITV’s sorta interestingMalumbano ya hoja ni kipindi kinachorushwa na ITV
Interesting maana yake niniITV’s sorta interesting
Nini maana ya "interesting" hili ni neno pana la kiengereza lina maana nyingi KM:- shauku,tamanio,uvuto !!
Uvuto wake wa kawaida sana hasa akiwa uchiNini maana ya "interesting" hili ni neno pana la kiengereza lina maana nyingi KM:- shauku,tamanio,uvuto !!
Uchi ni neno jumla yapaswa useme utupu !!Uvuto wake wa kawaida sana hasa akiwa uchi
Utupu wake hata hauvutiiUchi ni neno jumla yapaswa useme utupu !!
Isingejigawanya labda ningekua AsiaUsingekuwepo Africa Kama dunia isingejigawanya
Isingejigawanya labda ningekua Asia
Ungekuwa Asia ningekuoa maana napenda watu wa kule