dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Unakuchoma kama ukiukanyagaSheria ni msumari ukikalia unakuchoma
Ukiukanyaga unakutoboaUnakuchoma kama ukiukanyaga
Unakutoboa nyayo usipovaa viatu..Ukiukanyaga unakutoboa
Viatu na soksiUnakutoboa nyayo usipovaa viatu..
Soksi za guniaViatu na soksi
Mpunga una majina mengi sana
Sana sana ubwabwa ulikuwa umetepeta !!Mpunga una majina mengi sana
Umetepeta wengine huita bokobokoSana sana ubwabwa ulikuwa umetepeta !!
Bokoboko ni chakula chenye ladha na hadhi..Umetepeta wengine huita bokoboko
Hadhi yangu ni kubwa sana hapa jamiiforum hasa jukwaa pendwa la mapenzi,mahusiano na urafikiBokoboko ni chakula chenye ladha na hadhi..
Urafiki ni moja kati ya hatua kwenye mahusianoHadhi yangu ni kubwa sana hapa jamiiforum hasa jukwaa pendwa la mapenzi,mahusiano na urafiki
Mahusiano yangu ya kimapenzi na Chakorii yamekolea sanaUrafiki ni moja kati ya hatua kwenye mahusiano
Sana mpaka umefikia hatua ya kumtagi kweli penzi ni kikohoziMahusiano yangu ya kimapenzi na Chakorii yamekolea sana
Kikohozi kikavu huwa kinauma na kuwasha sana kooniSana mpaka umefikia hatua ya kumtagi kweli penzi ni kikohozi
Eti mwamba yuko humu humu[emoji1][emoji15][emoji15][emoji15] jamani ni Chakorii mimi au mwingine....loh!![emoji28][emoji28]
Umenitafutia ugomvi Elly mwamba yuko humu humu aiseh [emoji22][emoji22]
Ndio yuko humu ananizoom tuEti mwamba yuko humu humu[emoji1]
Wacha awe humu humu hamuna namna mkuu
Kwema lakini
Unaendeleaje huko uliko na jamaa mpaka hivi sasaNdio yuko humu ananizoom tu
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Nitazibuliwa vitasa leo[emoji22][emoji22][emoji22]
Kwema Elly za kwako...unaendeleaje
Jamaa yupi mkuu??Unaendeleaje huko uliko na jamaa mpaka hivi sasa