zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Unatumia neno la mwisho katika sentensi ya mtu kutunga sentensi mpyaKuufuata huu uzi ndo Natakiwavkufanya kitu gani!!mi sielewi hata
Mfano Chakorii ameingia kwenye mjadala
Mjadala umeibua hoja nyingi