zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Unatumia neno la mwisho katika sentensi ya mtu kutunga sentensi mpyaKuufuata huu uzi ndo Natakiwavkufanya kitu gani!!mi sielewi hata
Ahaaa...kumbee...sawa asanteUnatumia neno la mwisho katika sentensi ya mtu kutunga sentensi mpya
Mfano Chakorii ameingia kwenye mjadala
Mjadala umeibua hoja nyingi
[emoji38][emoji6]Ahaaa...kumbee...sawa asante
Siwezi kufanya hii shughuli kwa sasa kuna mambo ya muhimu na shughuli kwa nayo.asante[emoji1635]
Asante! Jitahidi uwe unasoma maelekezo kwa kila kitu mfano, lotion unazo nunua uwe usoma tarehe ya mwisho ya kutumiaAhaaa...kumbee...sawa asante
Siwezi kufanya hii shughuli kwa sasa kuna mambo ya muhimu na shughuli kwa nayo.asante[emoji1635]
Kutumia force au mkwazo kwa viumbe nyororo kama akina Chakorii hupelekesha wapeperuka angani...Asante! Jitahidi uwe unasoma maelekezo kwa kila kitu mfano, lotion unazo nunua uwe usoma tarehe ya mwisho ya kutumia
Zetu tuzienzi na kuzitukuza ili tuheshimikeAngani kule kule zinakopita bombardier zetu...
Tuheshimike kama aliyekuwa fulani alivyoheshimishwa kwa kupewa wawiliZetu tuzienzi na kuzitukuza ili tuheshimike
Wawili wawili ndiyo mpangoTuheshimike kama aliyekuwa fulani alivyoheshimishwa kwa kupewa wawili
Mpango mzima ni kupima VVUWawili wawili ndiyo mpango
VVU kirefu chake ni VINA VIKALI USIPIMEMpango mzima ni kupima VVU
Usipime maji ya bahari kwa kidoleVVU kirefu chake ni VINA VIKALI USIPIME
Kidole cha kati juuUsipime maji ya bahari kwa kidole
barafu ni jina la mwanachama, mmoja wa jamiiforumJuu ya kilele kuna barafu
Jamiiforum ni mtandao ninao upenda sanabarafu ni jina la mwanachama, mmoja wa jamiiforum
Kula sana chakula kimoja inakeraSana kuliko kula...
Majani ya chaiInakera kama kina fulani na gwanda zao rangi ya majani..