sugar ni tamu sana
asali ni tam na haina madhara
Madhara yatoke wapi wakati ni naturalasali ni tam na haina madhara
natural colour hupendeza kuliko artificial
Artificial haziwi nzuri daima.natural colour hupendeza kuliko artificial
daima jf itaendelea kua bora
kuliko kulala mda huu bora niendelee kuchat
Kuliko kutembea bora kukimbia ili uwahi
linalotembea? mbona mi sijawahi ona
Ona hapa mmegongana! Ila sio mbaya twende sawa. Lenie hujambo?Kuliko kutembea bora kukimbia ili uwahi
linalotembea? mbona mi sijawahi ona
Hujambo sijambo haijambo !!
umerudi toka shule
iliyopita sio basi ni gari ndogo
Ndogo siku hizi zinagongwa sana mtaaniiliyopita sio basi ni gari ndogo
Mtaani Kuna taharukiNdogo siku hizi zinagongwa sana mtaani