onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Matarajio ya baaadae huanza sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tunaishi baadae ni maututi..Matarajio ya baaadae huanza sasa
Maututi mimi kwa haya mapenzi ya siku hiziSasa tunaishi baadae ni maututi..
Hizi ni dalili za siku za mwishoMaututi mimi kwa haya mapenzi ya siku hizi
Mwisho wa siku lazima tuisome namba !!Hizi ni dalili za siku za mwisho
Namba yenyewe haisomekiMwisho wa siku lazima tuisome namba !!
Kuelewa kuwa inafaa ku-like kwanza msg ya juu kisha ndio uendelee na convo ni muhimu sanaHaisomeki ila unaweza kuelewa
Kuelewa kuwa inafaa ku-like kwanza msg ya juu kisha ndio uendelee na convo ni muhimu sana
Sana sana.. Tena inahamasisha zaidi!Sana kama sana
Zaidi ikizidi huleta madhara...Sana sana.. Tena inahamasisha zaidi!
Madhara makubwa sanaZaidi ikizidi huleta madhara...
Sana sana mtuhumiwa atasimama mahakamaniMadhara makubwa sana
Mahakamani kesi iliamuliwa kwa mtuhumiwa kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jelaSana sana mtuhumiwa atasimama mahakamani
Jela ni rehema ya kuwahifadhi wahalifu..Mahakamani kesi iliamuliwa kwa mtuhumiwa kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela
Wahalifu wengi wana nguo za kijani.Jela ni rehema ya kuwahifadhi wahalifu..
Kijani huwa inatumiwa na CCM au Yanga?Wahalifu wengi wana nguo za kijani.
Ccm sidhani kama itashinda safari hiiYanga nimbovu kama ccm
Hii ni habari itakayowakera watu wa LumumbaCcm sidhani kama itashinda safari hii