dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Usafiri gani?, huo kamanda!Ngamia huwa ni chombo cha usafiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usafiri gani?, huo kamanda!Ngamia huwa ni chombo cha usafiri?
Kamanda wa zamuUsafiri gani?, huo kamanda!
Usafiri wa zamani ulikuwa ukitumia wanyama KM: pound,farasi,ngamia,ng'ombe na ngamiaNgamia huwa ni chombo cha usafiri?
Zamu za ulinzi usiku na mchana...Kamanda wa zamu
Mchana na usiku kampeni zitaendelea...Zamu za ulinzi usiku na mchana...
Zitaendeleaje wakati wanataka kumsimamisha Lissu asifanye kampeniMchana na usiku kampeni zitaendelea...
Kampeni ya tokomeza govi imeishaZitaendeleaje wakati wanataka kumsimamisha Lissu asifanye kampeni
Ngamia sana ila pound ni mnyama gani?Usafiri wa zamani ulikuwa ukitumia wanyama KM: pound,farasi,ngamia,ng'ombe na ngamia
Gani ulikuwa mchezo wa sinema za kihindi..Ngamia sana ila pound ni mnyama gani?
Kihindi Ni lugha ambayo inataka moyo kujifunzaGani ulikuwa mchezo wa sinema za kihindi..
Kujifunza siasaKihindi Ni lugha ambayo inataka moyo kujifunza
Siasa ni mchezo mchafuKujifunza siasa
Mchafu akaoge tumeandaa maji na sabuniSiasa ni mchezo mchafu
Sabuni ya roho ni pesaMchafu akaoge tumeandaa maji na sabuni
Pesa ni mauwa Leo unayo kesho imetoweka !!Sabuni ya roho ni pesa
imetoweka amani na furaha nchini kenyaPesa ni mauwa Leo unayo kesho imetoweka !!
Kenya ni moja Kati ya nchi jirani na Tanzaniaimetoweka amani na furaha nchini kenya
Kenya ni moja Kati ya nchi jirani na Tanzania
Mashariki ya kati ulikuwa hivoivo kubweteka...tanzania ni babalaoo africa mashariki
Kubweteka siyo jambo jema kabisa kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa mahusiano ya kutuma na ya kutoleaMashariki ya kati ulikuwa hivoivo kubweteka...