Wa mwisho ndiyo mshindi

Hii ndo jf bhana ya kurefresh yani watu ni watii sana yani nimejaribu kufatilia watu wamefanya vile vile kama alivyosema mwandishi kwenye thread yake hakuna aliyeenda tofauti safi sana! Nakupa pongezi pia mwanzisha thread imewachallenge watu ata kama una mawazo yanapungua
 
Yanapungua maumivu ya kichwa unapo meza vidonge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…