Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Rubi wa ZZ ni Zuleykha mjanja..Wapo kina Zamiluni huku wanajua machimbo ya rubi
Mjanja mpaka anajichanganya mwenyeweRubi wa ZZ ni Zuleykha mjanja..
Walakini za Zuleykha zimepitiliza sana sasaHapa mtandaoni kuna mapungufu na walakin
Sasa Jasmoni Tegga unastahili zawadi nono kuliko tuzo la HollywoodWalakini za Zuleykha zimepitiliza sana sasa
Hollywood siyo watu wa kuaminika wala kuwasikiliza hata kidogoSasa Jasmoni Tegga unastahili zawadi nono kuliko tuzo la Hollywood
Kidogo Chenye kudumu kuliko kingi chenye masimango !!Hollywood siyo watu wa kuaminika wala kuwasikiliza hata kidogo
Masimango ukiondoa herufi 4 za mwanzo unapata embeKidogo Chenye kudumu kuliko kingi chenye masimango !!
Embe zina aina nyingi na masoko yake yana beiMasimango ukiondoa herufi 4 za mwanzo unapata embe
Maembe yakilegea ufanana na chapatiEmbe zina aina nyingi na masoko yake yana bei
Chapati ni kitafunio chenye ladhaMaembe yakilegea ufanana na chapati
utamu wa ngoma, uingie uchezeChapati ni kitafunio chenye utamu
Ucheze upate kutunzwa na wandugu...utamu wa ngoma, uingie ucheze
Wandugu halitumiki huku Bongo, labda Uganda [emoji1254] & Kenya [emoji1139] ndio hatari kwa kutinyanga lugha yetu nzuri ya taifaUcheze upate kutunzwa na wandugu...
Taifa la Bandugu tuungane ili tutanue wigo...Wandugu halitumiki huku Bongo, labda Uganda [emoji1254] & Kenya [emoji1139] ndio hatari kwa kutinyanga lugha yetu nzuri ya taifa
Wigo wa JPM wa Merelani umefanikisha kupanda kiwango cha uchimbaji na mapato ya madini ya Tanzanite kutoka kilo 300 hadi 1,400 kwa mwaka!Taifa la Bandugu tuungane ili tutanue wigo...
Mwaka huu na miaka ijayo iwe yenye Kheri....Wigo wa JPM wa Merelani umefanikisha kupanda kiwango cha uchimbaji na mapato ya madini ya Tanzanite kutoka kilo 300 hadi 1,400 kwa mwaka!
Kheri kusimamia rasilimali zetu bila woga, kuliko kuhofia vikwazo vya kiuchumi kutoka huko EUMwaka huu na miaka ijayo iwe yenye Kheri....
Kheri nyingi IN SHAA ALLAHMwaka huu na miaka ijayo iwe yenye Kheri....
In-Shaa-Allah ta'ala utabarikiwa wife materialKheri nyingi IN SHAA ALLAH
EU ni wadau tu kama partners wengine..Kheri kusimamia rasilimali zetu bila woga, kuliko kuhofia vikwazo vya kiuchumi kutoka huko EU