mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 973
- 1,358
asubuhi watu wengi wako kwenye pilikapilikaMuhimu km kupiga cha asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asubuhi watu wengi wako kwenye pilikapilikaMuhimu km kupiga cha asubuhi
Muhimu sana kupata wachangiaji wenye maono.Maarifa ya jamii muhimu
Pilikapilika za mwisho wa mwaka hunufaisha wafanyabiashara..asubuhi watu wengi wako kwenye pilikapilika
Wafanyabiashara wetu wakinufaika, lazima nchi yote iwande kiuchumi na kidiplomasia kama zilivyo nchi za UlayaPilikapilika za mwisho wa mwaka hunufaisha wafanyabiashara..
Madamu wewe upo duniani kila kitu utaonja...Ulaya kuna madem
Utaonja kihalali ladha ya mafanikio ya awamu ya 5 kama wewe ni mzalendo & mchapakazi wa kweli BongoMadamu wewe upo duniani kila kitu utaonja...
Bongo is forever nchi imebarikiwa..Utaonja kihalali ladha ya mafanikio ya awamu ya 5 kama wewe ni mzalendo & mchapakazi wa kweli Bongo
Imebarikiwa kwa lipiBongo is forever nchi imebarikiwa..
Lipi ndg Zamaulid hulijui au hulioni mchana kweupe?Imebarikiwa kwa lipi
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Imebaribikiwa nchi hii kwa vile mimi na wewe pamoja na wengine wanaopaswa kuisimamia istawi na kuendelea mbele, hatuko kimya, siyo waoga, wala wanafiki, na kimwili na kiakili tumeacha kuwa wavivuBongo is forever nchi imebarikiwa..
Kweupe sana kichwani mwake hawezi kuelewa huyoLipi ndg Zamaulid hulijui au hulioni mchana kweupe?
Sana sana wanaolala uchi, wanajikuta wamemaliza yaani! Kila wakigeuka imoooWavivu wakilala wanaona usiku ni mrefu sana
Kisasa ni mji wenye wakazi wengi waliopiga hatua katika maendeleo ya vitu & watuImoo nduo mtindo wa kisasa
Hajapatikana wapi wewe, Mimi ndiyeWatu hamjamalizana na huu uzi tu kweli wa mwisho hajapatikana.
Ndiye huyuhuyu yaa Galbi Aliyeibuka ?Hajapatikana wapi wewe, Mimi ndiye
Ndiye huyuhuyu yaa Galbi Aliyeibuka ?
Aliyeibuka juu ya maji nusura roho itokeKutoka chini