Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wananchi wamechoka kusema mitano tena
Tena wao wangependa Dkt. JPM awe Rais muda wote kwa sababu ukweli ni kwa ndiye kiongozi mzalendo namba moja katika nchi iliyokuwa hapo awali imetawaliwa na rushwa, ufisadi, uhujumu-uchumi, utakatishaji-fedha, ukwepaji-kodi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na uwajibikaji mdogo na migogoro
 
Tena wao wangependa Dkt. JPM awe Rais muda wote kwa sababu ukweli ni kwa ndiye kiongozo mzalendo namba moja katika nchi iliyokuwa hapo awali imetawaliwa na rushwa, ufisadi, uhujumu-uchumi, utakatishaji-fedha, ukwepaji-kodi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na uwajibikaji mdogo na migogoro
migogoro imeisha kilicho baki ni utekelezaji kazi iendeleee
 
Mtaji wenyewe ndiyo elimu ambayo mhitimu kajisomea na kujichotea kwa miaka na miaka chuoni, anapohitimu ni muda mwafaka wa kuiplai huku mtaani
Mtaani wasomi tumezaulika sana kisa ujinga wa raisi wetu kujenga miundombinu bila kuitumia property centered development.angalia uwanja wa chato hauna matumizi yeyote Yale ..magufuri toa ajira watu wako tunateseka mtaani,tatizo LA ajira ni kubwa muno
 
Muno ndo nini? Hatujakuelewa wajumbe
 
Wajumbe mmekuwa watata sana,sasa ambacho hujaelewa ni muno au kuna kingine
Kingine ni kwamba wasomi wetu wanatakiwa wajiajiri na kuwa wabunifu katika miradi ya ujasiriamali baada ya serikali kuweka mazingira mazuri na rafiki kwa ajili ya biashara, miundombinu na huduma bora za maji, afya na elimu bora badala tu ya kuilalamikia serikali kwamba haiwapatii kipaumbele wakati inafanya sehemu yake kwa ufanisi
 
Ufanisi utakuwa ni mkubwa endapo wanaojifanya ofisi ni zao wakiondoshwa kazini na kupisha damu changa ziajiriwe
 
Back
Top Bottom