Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkoloni ni nani na mamluki ni nani na msimamizi ni yupi?
Yupi miongoni mwa hawa huwezi kumvumilia? --- Mkoloni anayetumia nguvu yake ya mali, umashuhuri, jeshi, uchumi na siasa ili kuitawala nchi nyingine na kunyonya rasilimali zake; mamluki anayempigia upatu mkoloni japokuwa ni raia wa nchi yenu sawa na watu wenu; msimamizi mzalendo anayesimamia matumizi sahihi ya rasilimali za taifa kwa ajili ya ustawi na ukuaji wa uchumi
 
Back
Top Bottom