Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wananchi wa TZ kweli wamependelewa hakika Mungu katutandikia fursa..
Fursa zipo tele kwenye nchi hii, ila tu sasa wengi ni wazembe, wavivu, wanafiki, wapenda-dezo na dili na fedha za mkato ndiyo sababu wizi na ubadhirifu vilikuwa vimekithiri na kwa kiasi kikubwa taaluma, weledi & kazi halali vilielekea kukosa thamani
 
Back
Top Bottom