Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Fursa zipo tele kwenye nchi hii, ila tu sasa wengi ni wazembe, wavivu, wanafiki, wapenda-dezo na dili na fedha za mkato ndiyo sababu wizi na ubadhirifu vilikuwa vimekithiri na kwa kiasi kikubwa taaluma, weledi & kazi halali vilielekea kukosa thamaniWananchi wa TZ kweli wamependelewa hakika Mungu katutandikia fursa..