onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Ziajiriwe damu changa ili tupunguze vijana wanaozurura mitaan na bahashaUfanisi utakuwa ni mkubwa endapo wanaojifanya ofisi ni zao wakiondoshwa kazini na kupisha damu changa ziajiriwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziajiriwe damu changa ili tupunguze vijana wanaozurura mitaan na bahashaUfanisi utakuwa ni mkubwa endapo wanaojifanya ofisi ni zao wakiondoshwa kazini na kupisha damu changa ziajiriwe
Bahasha zile huwa wanapenda wenyewe kuzurura nazo ukizingatia kwamba idadi ya wahitimu yearly ni way too big as compared na nafasi zenyewe hata wangeondolewa wanaodhaniwa kuwa ndio wamekaba nafasi za hawa wapyaZiajiriwe damu changa ili tupunguze vijana wanaozurura mitaan na bahasha
Wapya kwani hawako kwenye ze raiti trakiBahasha zile huwa wanapenda wenyewe kuzurura nazo ukizingatia kwamba idadi ya wahitimu yearly ni way too big as compared na nafasi zenyewe hata wangeondolewa wanaodhaniwa kuwa ndio wamekaba nafasi za hawa wapya
Raiti traki ni kwa wachacheWapya kwani hawako kwenye ze raiti traki
Wachache wenye commitment ndio hufanikiwa maishaniRaiti traki ni kwa wachache
Maishani mwako katu usithubutu kutangaza mafanikio yako.Wachache wenye commitment ndio hufanikiwa maishani
Yako yawe siri Wanga wengiMaishani mwako katu usithubutu kutangaza mafanikio yako.
Wengi wakijua mafanikio yako wanahamasika na kuweka juhudi za mafanikio yao nao, hivyo hatupaswi kuyaficha wala kuwa watu wachoyo, mabahili bali wahisani hususan kwa wale wenye hali duniYako yawe siri Wanga wengi
Halo duni imetokana na kutopea kwenye lindi la umaskiniWengi wakijua mafanikio yako wanahamasika na kuweka juhudi za mafanikio yao nao, hivyo hatupaswi kuyaficha wala kuwa watu wachoyo, mabahili bali wahisani hususan kwa wale wenye hali duni
Umaskini UliokithiriHalo duni imetokana na kutopea kwenye lindi la umaskini
Afrika yote ni masikini kutokana na uongozi mbovu.Uliokithiri Afrika
Eneo la mstatili lililopimwa kwa makosa nani wa kulaumiwaMbovu kila eneo....
Mpimaji anaweza akawa hana makosa piaKulaumiwa?? Ni mpimaji
Ilikuwaje nchi za kiafrika kuwa na jeshi kubwa kuliko walipokuwepo wakoloni?Pia la kuliangalia, ilikuwaje?
Wakoloni walitaka kuendelea kutawala miaka yote, lakini sasa waliibuka wazalendo wachache waliopenda nchi zao na kuwahurumia ndugu zao waliokuwa wakiteswa na kutumikishwa kama watumwaIlikuwaje nchi za kiafrika kuwa na jeshi kubwa kuliko walipokuwepo wakoloni?
Yote hayo umekaririshwa na kudanganywa kwamba kila mtawala anayesalia madarakani muda wote lazima awe mkoloniWakoloni wakisasa ndio wanafanya kutawala maisha yote
Mkoloni ni nani na mamluki ni nani na msimamizi ni yupi?Yote hayo umekaririshwa na kudanganywa kwamba kila mtawala anayesalia madarakani muda wote lazima awe mkoloni
Mamboleo ni ujanja fasta ila ukoloni ni mwendo wa kinyonga...Mkoloni mamboleo....
Yupi miongoni mwa hawa huwezi kumvumilia? --- Mkoloni anayetumia nguvu yake ya mali, umashuhuri, jeshi, uchumi na siasa ili kuitawala nchi nyingine na kunyonya rasilimali zake; mamluki anayempigia upatu mkoloni japokuwa ni raia wa nchi yenu sawa na watu wenu; msimamizi mzalendo anayesimamia matumizi sahihi ya rasilimali za taifa kwa ajili ya ustawi na ukuaji wa uchumiMkoloni ni nani na mamluki ni nani na msimamizi ni yupi?