Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Tena wao wangependa Dkt. JPM awe Rais muda wote kwa sababu ukweli ni kwa ndiye kiongozi mzalendo namba moja katika nchi iliyokuwa hapo awali imetawaliwa na rushwa, ufisadi, uhujumu-uchumi, utakatishaji-fedha, ukwepaji-kodi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na uwajibikaji mdogo na migogoroWananchi wamechoka kusema mitano tena