onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Mihogo inaweza kubebwa pia,wewe ni nan wa kupingaMtanzania anashuhudia sasa ndege zinaenda Chato, umeambiwa zinabeba mihogo?
Kupinga hoja kwa hoja ndo vizuri sanaMihogo inaweza kubebwa pia,wewe ni nan wa kupinga
Sana sana tunajifunza kwamba awamu hii ya tano imekuwa na mafanikio makubwa mno katika kila sekta, tena ndani ya muda mfupi mbali na matarajio ya wengiKupinga hoja kwa hoja ndo vizuri sana
Wengi wanaamini ukuu wa MunguSana sana tunajifunza kwamba awamu hii ya tano imekuwa na mafanikio makubwa mno katika kila sekta, tena ndani ya muda mfupi mbali na matarajio ya wengi
Mungu anaukuu wake ila watu wamchanganya Mungu kwenye mambo yao yasio na imaniWengi wanaamini ukuu wa Mungu
Kupinga hoja kwa hoja ndo
Imani ni mfumo usiyo Salim amri !!Mungu anaukuu wake ila watu wamchanganya Mungu kwenye mambo yao yasio na imani
Amri kumi za Mungu ni nguzo kwa mwanadamuImani ni mfumo usiyo Salim amri !!
mwanadamu ni mimi na wewe ila ubinadamu ndo kaziAmri kumi za Mungu ni nguzo kwa mwanadamu
Kazi zinahitajika kusimamiwa ili upate mafanikiomwanadamu ni mimi na wewe ila ubinadamu ndo kazi
Maendeleo ni jitahada binafsi za mtu anaeamua kupambana kwa njia zoteTena kuna maboresho na maendeleo
Njia zote haijalishi ni halali au haramuMaendeleo ni jitahada binafsi za mtu anaeamua kupambana kwa njia zote
Kazi yake Mrembo onlyalvira ni kutusambaratisha..zangu dua tu ikiwezekaza fanya haramu ila usikamate, tukikuta sheria inafanya kazi yake
Kusambaratika kwa maadili ya kitanzania nalo pia ni jangaKazi yake Mrembo onlyalvira ni kutusambaratisha..
janga kama la coronaKusambaratika kwa maadili ya kitanzania nalo pia ni janga
Corona imetutesa sana walimwengujanga kama la corona
Walimwengu sio watu.Corona imeutesa sana walimwengu
Watu ni akina nani?Walimwengu sio watu.
Nani anawafahamu? Ni watu wasiojulikanaWatu ni akina nani?
Wasiojulikana katika jamii yetu wapo wengi sanaNani anawafahamu? Ni watu wasiojulikana