dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Wenyewe wakina nani?Yetu sisi ni macho tu hayo yakina silinde tuwaachie wenyewe
nani inamaana wenyewe si kina silindeWenyewe wakina nani?
Silinde mbunge au yupinani inamaana wenyewe si kina silinde
Yupi tena kaja kwanguSilinde mbunge au yupi
kwangu akija ajipangeYupi tena kaja kwangu
Kazi ni kazi chezea mshahara ila niachie nifanye majukumu..Ajipange hata huko Bungeni maana awam hii kazikazi
Majukumu ya familia ni wajibu wa nani?Kazi ni kazi chezea mshahara ila niachie nifanye majukumu..
Nani atamvisha paka meusi kengele ?Majukumu ya familia ni wajibu wa nani?
Kengele ya saa 4 kipindi kile unawaza kula mihogo na kachumbariNani atamvisha paka meusi kengele ?
Kachumbari huongeza utamu wa BiriyaniKengele ya saa 4 kipindi kile unawaza kula mihogo na kachumbari
Biriyani ni chakula nisichokipenda kabisa,nashangaa wana dar wanaishobokeaKachumbari huongeza utamu wa Biriyani
Wanaishobokea kwa sababu ni chakula ambacho ni adimu na n ghalamaBiriyani ni chakula nisichokipenda kabisa,nashangaa wana dar wanaishobokea
^Ghalama^ litakuwa neno jipya kwenye Kamusi ya Kiswahili, au pengine ukuaji wa uchumi wa viwanda nchini kama tunavyoshuhudia unasababisha pia ongezeko la misamiati?Wanaishobokea kwa sababu ni chakula ambacho ni adimu na n ghalama
Misamiati zipo ktk pempezote nchini kutokana na lafudhi au Lahaja za lugha..^Ghalama^ litakuwa neno jipya kwenye Kamusi ya Kiswahili, au pengine ukuaji wa uchumi wa viwanda nchi kama tunavyoshuhudia unasababisha pia ongezeko la misamiati?
Lugha ya taifa kwa taifa la Tanzania ni kiswahiliMisamiati zipo ktk pempezote nchini kutokana na lafudhi au Lahaja za lugha..
Kisiwa hili lina minazi na mimea ya ajabu....Lugha ya taifa kwa taifa la Tanzania ni kiswahili
Ajabu leo nimeota nagegeda jiniKisiwa hili lina minazi na mimea ya ajabu....
Jini ni kiumbe kama wengine viumbeAjabu leo nimeota nagegeda jini
Viumbe hatari zaidi katika ustawi wa nchi yetu siyo bacillus bacteria, wala plasmodium, wala HIV wala corona -- ila ni wale watu wanaotuhadaa kuwa ni viongozi wetu na kwamba wapo kwa ajili ya maslahi mapana ya umma, ilhali hata wangepewa miaka elfu ofisini hakuna lolote bora la mafanikio watendalo zaidi tu ya kuendekeza uzembe, rushwa, ufisadi, kujinufaisha, migawanyiko, ugomvi, migogoro na ulevi kwa namna zake mbili.Jini ni kiumbe kama wengine viumbe