onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Vimbunga vimewakumba paka weusi wote wameenda na majiBahari Hindi ina upepo na vimbunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vimbunga vimewakumba paka weusi wote wameenda na majiBahari Hindi ina upepo na vimbunga
Maji ni uhai kwa mwanadamu alie haiVimbunga vimewakumba paka weusi wote wameenda na maji
Tu na utaendelea kuwepoHivi huu ujinga tangu 2012 upo tu
Kwanza umesema wa mwisho atakuwa wa Kwanza kwa minajili ipi?
Kwa minajili ya upeo wangu na jukumu la kusuluhisha wahasimu.Kwanza umesema wa mwisho atakuwa wa Kwanza kwa minajili ipi?
Wahasimu wa sasa ni bodi ya mikopoKwa minajili ya upeo wangu na jukumu la kusuluhisha wahasimu.
Mikopo italipwa na deni itapunguza...Wahasimu wa sasa ni bodi ya mikopo
Itapunguza vp wakati kuna ongezeko la ribaMikopo italipwa na deni itapunguza...
Riba ni zoezi lenye kuondoa barakaItapunguza vp wakati kuna ongezeko la riba
baraka ni za muhimu kuliko riba wakati mkopeshaji anataka riba kubwa apate na faidaRiba ni zoezi lenye kuondoa baraka
Faida isiyoangalia uhalisia wa maishabaraka ni za muhimu kuliko riba wakati mkopeshaji anataka riba kubwa apate na faida
maisha ya furaha na kilioFaida isiyoangalia uhalisia wa maisha
Kilio huja baada ya huzunimaisha ya furaha na kilio
Huzuni isiendekezwe italeta madhara ktk afya..Kilio huja baada ya huzuni
Afya ni muhimu kwa kila binadamuHuzuni isiendekezwe italeta madhara ktk afya..
Binadamu wewe Mmmh sina Hila wala kauliAfya ni muhimu kwa kila binadamu
Kauli thabiti na zilizoshiba na hatua za ufuatiliaji miradi kutoka kwa Mh Silinde (Mbunge & Naibu Waziri) zinaleta matumaini ya viongozi wetu wanaoielewa na kuitafsiri vilivyo njozi bora za JPM zenye lengo la kuleta ustawi madhubuti na wa kasi na nchi yetuBinadamu wewe Mmmh sina Hila wala kauli
Yetu sisi ni macho tu hayo yakina silinde tuwaachie wenyeweKauli thabiti na zilizoshiba na hatua za ufuatiliaji miradi kutoka kwa Mh Silinde (Mbunge & Naibu Waziri) zinaleta matumaini ya viongozi wetu wanaoielewa na kuitafsiri vilivyo njozi bora za JPM zenye lengo la kuleta ustawi madhubuti na wa kasi na nchi yetu