Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Huru ni mfumo usio na limit..Mahakama sio sehemu ya Jf ,
Jf ni sehemu ya maoni huru...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huru ni mfumo usio na limit..Mahakama sio sehemu ya Jf ,
Jf ni sehemu ya maoni huru...
Huru ni mfumo usio na limit..
Thinkers wa JF wana mapungufu..Limit ni kitu
Hakuna kwa
Free thinker's
Thinkers wa JF wana mapungufu..
Mapungufu ni kawaida kwa BinadamuThinkers wa JF wana mapungufu..
Binadamu ndi ,MnyamaMapungufu ni kawaida kwa Binadamu
Ufahamu ni wajibu wetu sote kuukimbiliaBinadamu ndi ,Mnyama
Pekee mwenye ufahamu.
Kuukimbilia umoja unaoonekana japo kwa mbali na upatikanao kwa uadimu ni heri kuliko kutulia kwenye faraka iliyoenea kila mahaliUfahamu ni wajibu wetu sote kuukimbilia
Mahali maalumu na nyakati muwafaka ndiyo mshindi wetu sahihi..Kuukimbilia umoja unaoonekana japo kwa mbali na upatikanao kwa uadimu ni heri kuliko kutulia kwenye faraka iliyoenea kila mahali
Mahali maalumu na nyakati muwafaka ndiyo mshindi wetu sahihi..
Hujakosea kuwa shabiki wa YangaSahihi kabisa,
Wala hujakosea...
Hujakosea ulivyo mkanya na kumkemea mwanafunzi..Sahihi kabisa,
Wala hujakosea...
Mwanafunzi au wanafunzi hawasomi sentesi yote,wao wanaangalia neno la mwisho tu halafu wanaungaHujakosea ulivyo mkanya na kumkemea mwanafunzi..
Mwanafunzi au wanafunzi hawasomi sentesi yote,wao wanaangalia neno la mwisho tu halafu wanaunga
hoi ina maana ya waliochokaWanaunga nguo zilizochanika kuuzia walala hoi
Walichoka muda huu wamelala wewehoi ina maana ya waliochoka
Wewe uko wap mda huu ambao hujalalaWalichoka muda huu wamelala wewe
Hujalala mwanangu utauwawa bureWewe uko wap mda huu ambao hujalala
bure ni msukuleHujalala mwanangu utauwawa bure
Jamani amkeni kumekuchaMsukule unatisha jamani