Tunaitaka hiyo kwiyo. Nchi yetu ina kila aina ya rasilimali ambazo kupitia kwazo tunaweza kujitegemea na misaada tukawapa wao. Ukiangalia kwa undani hata hizo hela wanazotupatia haziendani na mali wanazochukua km fidia. Cha msingi ni kuwapiga chini tujikongoje wenyewe maana tuna ardhi yenye rutba, tuna madini, tuna bahari na maziwa tuna mbuga za wanyama tuna gesi. Wao waende zao tujenge nchi yetu wasitubabaishe banaKikamilifu lakini hela zao bado tunazitaka
Bhana umewatapikia walichokulisha bila staha.Tunaitaka hiyo kwiyo. Nchi yetu ina kila aina ya rasilimali ambazo kupitia kwazo tunaweza kujitegemea na misaada tukawapa wao. Ukiangalia kwa undani hata hizo hela wanazotupatia haziendani na mali wanazochukua km fidia. Cha msingi ni kuwapiga chini tujikongoje wenyewe maana tuna ardhi yenye rutba, tuna madini, tuna bahari na maziwa tuna mbuga za wanyama tuna gesi. Wao waende zao tujenge nchi yetu wasitubabaishe bana
Staha kwa anayekupa heshima tuBhana umewatapikia walichokulisha bila staha.
Tulia tulii mwana utapewa takdira na taadhimaStaha kwa anayekupa heshima tu
Taadhima ??Tulia tulii mwana utapewa takdira na taadhima
Taadhima tuliyonayo sasa kama taifa imetufanya tusifikie ulimwenguni kwa harakati za kutaka kujikwamua kwenye utegemezi katika uchumi kutokana na uwekezaji kwenye miradi mikubwa ya umeme, maji, miundombinu ya barabara na reli, huduma za maji, shule na afya na pia kwenye sanaa, utamaduni (lugha yetu na maadili ya Kitanzania) na ushindani fanisi wa kibiasharaTaadhima ??
Hizi sera za maendeleo hayana chama ni nzuri sanakibiashara Zaida wadada wa siku hizi
Sana sana nimejikuta ktk msafara wa mambaHizi sera za maendeleo hayana chama ni nzuri sana
Mamba ni mnyama hatari sana hasa akiwa mawindoniSana sana nimejikuta ktk msafara wa mamba
Mawindoni tulibahatika kupata nyeti..Mamba ni mnyama hatari sana hasa akiwa mawindoni
Starehe zilimponza akajikuta ndani ya mtaroWanawake ni chombo cha starehe
Sana sana unaposema mwanamke ni chombo ya starehe,mnatukosea sanaMtaro unaopendwa na vijana wengi ni mtaro wenye matope,mbaya sana
Sana, bila shaka Ustaarabu ni kuwatukuzaSana sana unaposema mwanamke ni chombo ya starehe,mnatukosea sana
Kuwatukuza kwa kuwafanya chombo cha starehe nao ni ustaarabuSana, bila shaka Ustaarabu ni kuwatukuza
Ustaarabu ni kitu kizuri sanaKuwatukuza kwa kuwafanya chombo cha starehe nao ni ustaarabu
Sana naona wote mmeamua kutudharau wanawake ila mkumbuke mama zenu pia ni wanawake,mtupende sisi ni mama zenu na dada zenuUstaarabu ni kitu kizuri sana
Zenu na zetu juhudi zikiungana pamoja kwa umoja bila ubinafsi, muda si muda Tanzania [emoji1241] inakuwa zaidi ya Ulaya kimaendeleo na ustawi wa mtu mmojammoja nchini koteSana naona wote mmeamua kutudharau wanawake ila mkumbuke mama zenu pia ni wanawake,mtupende sisi ni mama zenu na dada zenu