Yako pia itakuwa nzuri kama chocolateRangi ya mwili wako itakua nzuri km maua yako
Chocolate ya vanilla au bananaYako pia itakuwa nzuri kama chocolate
Banana hapana itakuwa ya vanillaChocolate ya vanilla au banana
Vanilla nilijua utachagua hiyo maana yashabihiana na rangi ya maua niyapendayoBanana hapana itakuwa ya vanilla
Niyapendayo majivuno na mitindo ya waswahili wa pwani..Vanilla nilijua utachagua hiyo maana yashabihiana na rangi ya maua niyapendayo
Pwani ipi ya kusini au ya kaskszini?Niyapendayo majivuno na mitindo ya waswahili wa pwani..
Kaskazini mwa Kenya kuna nchi ya Chad huko watu wake ni warefu warefu kimaubile..Pwani ipi ya kusini au ya kaskszini?
Kimaumbile una maana gani mkuuKaskazini mwa Kenya kuna nchi ya Chad huko watu wake ni warefu warefu kimaubile..
Mkuu wangu nikutakie udahili mwema ktk huu uziKimaumbile una maana gani mkuu
Uzi unaendelea kumtafuta mshindiMkuu wangu nikutakie udahili mwema ktk huu uzi
Mshindi hawezi kupatikana kirahisi rahisiUzi unaendelea kumtafuta mshindi
Rahisi pasina jitihada za Busara..Mshindi hawezi kupatikana kirahisi rahisi
Busara ni kuniachia mimi niwe mshindiRahisi pasina jitihada za Busara..
Mshindi utakua ww km ukija pmBusara ni kuniachia mimi niwe mshindi
Pm kuna nini mwaga mchele huo hadharaniMshindi utakua ww km ukija pm
Pm tena au unataka kunipa ushindi wa mezaniMshindi utakua ww km ukija pm
Mezani nakuwekea zawadi hujawahiipata wala KuonaPm tena au unataka kunipa ushindi wa mezani
Kuona sio shida kazi ipo kwenye kuipataMezani nakuwekea zawadi hujawahiipata wala Kuona
Kuipata bahati nasibu inabidi nifanye yapiKuona sio shida kazi ipo kwenye kuipata
Yapi yanawashinda eenyi vijana wa mjiniKuipata bahati nasibu inabidi nifanye yapi