Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Mjini shuleYapi yanawashinda eenyi vijana wa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjini shuleYapi yanawashinda eenyi vijana wa mjini
Shule nilisomea elimu ya maarifa.Mjini shule
Maarifa ni kutafuta pesa...ili uzeeni watoto wako wasitafutiwe baba mwingineShule nilisomea elimu ya maarifa.
Mwingine ni yule wewe utakuwa mwingine wa wengine!!Maarifa ni kutafuta pesa...ili uzeeni watoto wako wasitafutiwe baba mwingine
Wengine wasipo tafuta pesa nitakua baba bora zaidi kwa hao wengine.Mwingine ni yule wewe utakuwa mwingine wa wengine!!
Wengine tumeosha mikono kushabikia sokaWengine wasipo tafuta pesa nitakua baba bora zaidi kwa hao wengine.
Soka bongo miyeyushoWengine tumeosha mikono kushabikia soka
Miyeyusho ziwekewe mbinu za uigizakiSoka bongo miyeyusho
Uigizaji !utapenda kucheza katika tukio ganiMiyeyusho ziwekewe mbinu za uigizaki
Tukio gani Mmmh Mwarabu mie huko simo..Uigizaji !utapenda kucheza katika tukio gani
Simo hata mimiTukio gani Mmmh Mwarabu mie huko simo..
Mimi napenda alie mkweliSimo hata mimi
Mkweli ni mimi tu, wengine wote waongoMimi napenda alie mkweli
Waongo!! Kivipi unawatuhumu waungwanaMkweli ni mimi tu, wengine wote waongo
Waungwana ni kama Thad ila hata mm nimoWaongo!! Kivipi unawatuhumu waungwana
Rejesta!nimo ndio kiswahili chetu sie,wewe umeona rejesta basi sawanimo ni neno la kiswahili lisilo fasaha( katika sarufi) linalomanisha kuwepo..hivyo twaeza liita ni rejesta.
Sawa kabisa mswahili mwenzanguRejesta!nimo ndio kiswahili chetu sie,wewe umeona rejesta basi sawa
Mwenzangu umeamkaje?Sawa kabisa mswahili mwenzangu
Umeamkaje huko uliko,Mwenzangu umeamkaje?