Tunawalinda dhidi ya maovu ya ulimwenguWatuzungukao wana Amin tunawalinda
Ulimwengu shujaa ila dunia hadaaTunawalinda dhidi ya maovu ya ulimwengu
Hadaa wale maadui ili wasikuvamieUlimwengu shujaa ila dunia hadaa
Wasikuvamie na kukudhuruHadaa wale maadui ili wasikuvamie
Kukudhuru hakukwepeki kwa sbb hukuchukuwa tahadhari..Wasikuvamie na kukudhuru
Kinga ni bora kuliko tibatahadhari tumia kinga
Tiba ya moyo ni upendoKinga ni bora kuliko tiba
Tiba ya moyo ni upendo
Upendo mathubuti usio umizaTiba ya moyo ni upendo
Umiza Ndonga upate ugali hii ndio bongoUpendo mathubuti usio umiza
Umiza mwili wa mtu ila sio moyo wake maana maumivu yake hayapoi kwa dawaUpendo mathubuti usio umiza
dawa ya moto ni majiUmiza mwili wa mtu ila sio moyo wake maana maumivu yake hayapoi kwa dawa
Maji yanapendwa na chura ila sio ya motodawa ya moto ni maji
Maji yanapendwa na chura ila sio ya moto
Forget about fighting for nothing. You are young so struggle to make changes in your society instead all the time thinking about damn girlsMoto niliompelekea yule manzi hawezi kuni forget
Girls wanatufanya tusake hela kwa bidiiForget about fighting for nothing. You are a young people struggle to make changes in your society instead all the time thinking about damn girls
Sent using Jamii Forums mobile app
Beautiful like defeating Donald Trump!!girls who are smart minded are always beautiful
Trump ameshapamiss ikulu