Wa mwisho ndiyo mshindi

Wewe nakuheshimu kwa sbb ni mstaarabu!!
Mstaarabu taratibu anakuwa staa wa taarabu kama Stara na Rahabu; ila yote kwa yote, JPM ndiye habari ya mjini -- wakati washamba na wakulima wanachonga, yeye anachapa kazi kwa bidii na nusu. Huyu ndiye kiongozi ambaye taifa letu limemhitaji kwa muda mrefu sana ili alete mabadiliko ambayo yamewashinda -- au kwa usahihi, yamekwamishwa na -- viongozi wengi
 
Wengi na kwa sauti moja ya Juu abarikiwe
 
KUNA WATU MSHANYOA KWAAJILI YA MAANDALIZI YA KESHO.. PEPO MTAISIKIA TU[emoji23][emoji466]️[emoji2145]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…