onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Kati yangu na weweMjirumani ndo nani au unamaanisha mjerumani aliyetujengea reli ya kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati yangu na weweMjirumani ndo nani au unamaanisha mjerumani aliyetujengea reli ya kati
Wewe nakuheshimu kwa sbb ni mstaarabu!!Kati yangu na wewe
Mstaarabu taratibu anakuwa staa wa taarabu kama Stara na Rahabu; ila yote kwa yote, JPM ndiye habari ya mjini -- wakati washamba na wakulima wanachonga, yeye anachapa kazi kwa bidii na nusu. Huyu ndiye kiongozi ambaye taifa letu limemhitaji kwa muda mrefu sana ili alete mabadiliko ambayo yamewashinda -- au kwa usahihi, yamekwamishwa na -- viongozi wengiWewe nakuheshimu kwa sbb ni mstaarabu!!
Wengi na kwa sauti moja ya Juu abarikiweMstaarabu taratibu anakuwa staa wa taarabu kama Stara na Rahabu; ila yote kwa yote, JPM ndiye habari ya mjini -- wakati washamba na wakulima wanachonga, yeye anachapa kazi kwa bidii na nusu. Huyu ndiye kiongozi ambaye taifa letu limemhitaji kwa muda mrefu sana ili alete mabadiliko ambayo yamewashinda -- au kwa usahihi, yamekwamishwa na -- viongozi wengi
Abarikiwe yeye anayewajali wahitajiWengi na kwa sauti moja ya Juu abarikiwe
Wahitaji wa bidhaa za vinyagoAbarikiwe yeye anayewajali wahitaji
Vinyago na mizimu ya uzembe, upiga-dili, rushwa, ubadhirifu wa mali za umma vimeelekea kufika mwisho kwenye serikali hii ya awamu ya tano --- nashauri sasa JPM aondolewe ukomo wa madaraka ili awe Rais mazimaWahitaji wa bidhaa za vinyago
Mazima hapana kwa kweli,hatuwezi kula ugali kila sikuVinyago na mizimu ya uzembe, upiga-dili, rushwa, ubadhirifu wa mali za umma vimeelekea kufika mwisho kwenye serikali hii ya awamu ya tano --- nashauri sasa JPM aondolewe ukomo wa madaraka ili awe Rais mazima
Siku gani/ipi utakuja kwetu tukukirimu..Mazima hapana kwa kweli,hatuwezi kula ugali kila siku
Kweli Rafiki zangu napenda kuwakirimu...Noma kweli
Jambo jema mkuuKweli Rafiki zangu napenda kuwakirimu...
Mkuu nikueleweshe kuh: uzi huu ni kuendeleza neno la mwisho linalopostiwa...Jambo jema mkuu
Nimekupata ngoja niendelezeMkuu nikueleweshe kuh: uzi huu ni kuendeleza neno la mwisho linalopostiwa...
Tutakabiliana kibishiKUNA WATU MSHANYOA KWAAJILI YA MAANDALIZI YA KESHO.. PEPO MTAISIKIA TU[emoji23][emoji466]️[emoji2145]
Linalopostiwa lazima lipate muendeleze,ila nasubir mualikoMkuu nikueleweshe kuh: uzi huu ni kuendeleza neno la mwisho linalopostiwa...
Mualiko wa valentineLinalopostiwa lazima lipate muendeleze,ila nasubir mualiko
Valentine ni overratedMuali
Mualiko wa valentine
Overrated ki vp tena,si tumekubaliana kila mtu awe na mpenziValentine ni overrated