Wa mwisho ndiyo mshindi

Mwandamizi mzuri wa chama & serikali ni mtu aliyejivika uzalendo 100%, mweledi, muungwana, mchapakazi, mbunifu na anayewapenda raia wake --- asante sana kipenzi chetu Jeipiiemu! Hivi Watanzania tupewe nini ndipo turidhike jamani!???
Jamani hatuwezi kuwaridhisha kila mtu na wewe Jasmoni Tegga huwez kumuelewesha kila mtu au nasema uongo Zamiluni Zamiluni hebu nisaidie
 
Jamani hatuwezi kuwaridhisha kila mtu na wewe Jasmoni Tegga huwez kumuelewesha kila mtu au nasema uongo Zamiluni Zamiluni hebu nisaidie
Nisaidie sana nakuomba shosti tuwaeleweshe wasiotaka kwa makusudi kuona, kutambua, kuridhia na kuzikubali juhudi njema na hatua madhubuti za Rais wetu. Nchi yetu sasa inapaa kimaendeleo, punde si punde tutaanza kuwaajiri Wazungu na teknolojia na bidhaa za viwanda vyetu vitaanza kuwa keki ya moto huko London & Washington -- umaskini, ujinga na maradhi vitabaki historia kwenye majumba ya kumbukumbu na kwenye vitabu
 
Vitabu vimeandikwa na wasomi wenye maono mie binafsi nguli mwanaFalsafa adhimu...
 
Vitabu vimeandikwa na wasomi wenye maono mie binafsi nguli mwanaFalsafa adhimu...
Mwanafalsafa adhimu ni yule aipendaye nchi yake -- anashiriki kikamilifu kwenye juhudi za maendeleo na ustawi wa nchi, ni balozi wa kweli ndani na nje ya nchi, hatoi wala kupokea rushwa, si mzembe, mfitini, mchonganishi, mzushi, wala si dalali, kuwadi na kibaraka wa mabeberu na walowezi
 
Walowezi wanadhambi gani ikiwa wapo kihalali na kisheria???????
 
Walowezi wanadhambi gani ikiwa wapo kihalali na kisheria???????
Kisheria wasingepaswa kuitwa walowezi kama wana uhalali wowote wa kuishi nchini na kumiliki vyanzo vikuu vya mapato na rasilimali -- ni sawa na jambazi akuteke na kukwapua mali zako halafu akwambie usaini mkataba wa kumfanya awe mmiliki halali
 
Halalishwa na kukabidhishwa hufanywa na wahusika wenye madaraka makubwa na baraka zote husainiwa...
 
Husainiwa nyaraka na hata kupigwa muhuri, lakini ngojera ni ileile, haibadiliki kwamba namna ya umilikishwaji wa hati ya mali husika ni haramu na batili
Husainiwa nyaraka na hata kupigwa muhuri, lakini ngojera ni ileile, haibadiliki kwamba namna ya umilikishwaji wa hati ya mali husika ni haramu na batili
Batili itakuwajee ktk kanuni za kimataifa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…