Underwood
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 1,909
- 3,120
Overrated ki vp tena,si tumekubaliana kila mtu awe na mpenzi
Mapenzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Overrated ki vp tena,si tumekubaliana kila mtu awe na mpenzi
Mapenzi ni overrated piaMapenzi?
Pia ww unasema hivyo?Mapenzi ni overrated pia
Hivyo usidhani ulaji wako ugali kila siku ni kwa vile JPM ni Rais -- ugali unatafuta mwenyewe, Bulldozer anahusikaje!??? Kesho pika pilau na manjorinjo yote upendayo since kupanga ni kuchaguaPia ww unasema hivyo?
Kuchagua ? Basi mie namchagua onlyalvira kuwa Mwandamizi...Hivyo usidhani ulaji wako ugali kila siku ni kwa vile JPM ni Rais -- ugali unatafuta mwenyewe, Bulldozer anahusikaje!??? Kesho pika pilau na manjorinjo yote upendayo since kupanga ni kuchagua
Kuchagua ? Basi mie namchagua onlyalvira kuwa Mwandamizi...
Jamani hatuwezi kuwaridhisha kila mtu na wewe Jasmoni Tegga huwez kumuelewesha kila mtu au nasema uongo Zamiluni Zamiluni hebu nisaidieMwandamizi mzuri wa chama & serikali ni mtu aliyejivika uzalendo 100%, mweledi, muungwana, mchapakazi, mbunifu na anayewapenda raia wake --- asante sana kipenzi chetu Jeipiiemu! Hivi Watanzania tupewe nini ndipo turidhike jamani!???
Nisaidie sana nakuomba shosti tuwaeleweshe wasiotaka kwa makusudi kuona, kutambua, kuridhia na kuzikubali juhudi njema na hatua madhubuti za Rais wetu. Nchi yetu sasa inapaa kimaendeleo, punde si punde tutaanza kuwaajiri Wazungu na teknolojia na bidhaa za viwanda vyetu vitaanza kuwa keki ya moto huko London & Washington -- umaskini, ujinga na maradhi vitabaki historia kwenye majumba ya kumbukumbu na kwenye vitabuJamani hatuwezi kuwaridhisha kila mtu na wewe Jasmoni Tegga huwez kumuelewesha kila mtu au nasema uongo Zamiluni Zamiluni hebu nisaidie
Vitabu vimeandikwa na wasomi wenye maono mie binafsi nguli mwanaFalsafa adhimu...Nisaidie sana nakuomba shosti tuwaeleweshe wasiotaka kwa makusudi kuona, kutambua, kuridhia na kuzikubali juhudi njema na hatua madhubuti za Rais wetu. Nchi yetu sasa inapaa kimaendeleo, punde si punde tutaanza kuwaajiri Wazungu na teknolojia na bidhaa za viwanda vyetu vitaanza kuwa keki ya moto huko London & Washington -- umaskini, ujinga na maradhi vitabaki historia kwenye majumba ya kumbukumbu na kwenye vitabu
Mwanafalsafa adhimu ni yule aipendaye nchi yake -- anashiriki kikamilifu kwenye juhudi za maendeleo na ustawi wa nchi, ni balozi wa kweli ndani na nje ya nchi, hatoi wala kupokea rushwa, si mzembe, mfitini, mchonganishi, mzushi, wala si dalali, kuwadi na kibaraka wa mabeberu na waloweziVitabu vimeandikwa na wasomi wenye maono mie binafsi nguli mwanaFalsafa adhimu...
Walowezi wanadhambi gani ikiwa wapo kihalali na kisheria???????Mwanafalsafa adhimu ni yule aipendaye nchi yake -- anashiriki kikamilifu kwenye juhudi za maendeleo na ustawi wa nchi, ni balozi wa kweli ndani na nje ya nchi, hatoi wala kupokea rushwa, si mzembe, mfitini, mchonganishi, mzushi, wala si dalali, kuwadi na kibaraka wa mabeberu na walowezi
Kisheria??ila sheria zimewekwa ili zivunjweWalowezi wanadhambi gani ikiwa wapo kihalali na kisheria???????
Kisheria wasingepaswa kuitwa walowezi kama wana uhalali wowote wa kuishi nchini na kumiliki vyanzo vikuu vya mapato na rasilimali -- ni sawa na jambazi akuteke na kukwapua mali zako halafu akwambie usaini mkataba wa kumfanya awe mmiliki halaliWalowezi wanadhambi gani ikiwa wapo kihalali na kisheria???????
Zivunjwe kivipi wakati kila kitu chini ya jua kina wezekanaKisheria??ila sheria zimewekwa ili zivunjwe
Halalishwa na kukabidhishwa hufanywa na wahusika wenye madaraka makubwa na baraka zote husainiwa...Kisheria wasingepaswa kuitwa walowezi kama wana uhalali wowote wa kuishi nchini na kumiliki vyanzo vikuu vya mapato na rasilimali -- ni sawa na jambazi akuteke na kukwapua mali zako halafu akwambie usaini mkataba wa kumfanya awe mmiliki halali
Husainiwa nyaraka na hata kupigwa muhuri, lakini ngojera ni ileile, haibadiliki kwamba namna ya umilikishwaji wa hati ya mali husika ni haramu na batiliHalalishwa na kukabidhishwa hufanywa na wahusika wenye madaraka makubwa na baraka zote husainiwa...
Husainiwa nyaraka na hata kupigwa muhuri, lakini ngojera ni ileile, haibadiliki kwamba namna ya umilikishwaji wa hati ya mali husika ni haramu na batili
Batili itakuwajee ktk kanuni za kimataifa ?Husainiwa nyaraka na hata kupigwa muhuri, lakini ngojera ni ileile, haibadiliki kwamba namna ya umilikishwaji wa hati ya mali husika ni haramu na batili
Kimataifa hawatambui sana mambo ya kitaifa kama hayaingilii maslahi yao moja kwa moja -- huwa wanafumbia macho hadi miguu yao ikanyagwe ndipo wanazindukaBatili itakuwajee ktk kanuni za kimataifa ?
Kufahamika sio kigezo cha kuvunja sheria.