Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kuzama katika lugha ni kigezo cha ajira ya Kiswahili, siyo tu Marekani, bali ulimwenguni kote. Wapo Watanzania wengi sana wanasomesha lugha yetu ya taifa kwenye nchi mbalimbali Afrika, Ulaya, China, na hata JapaniSote tunaweza kuzama
Japani ni nchiKuzama katika lugha ni kigezo cha ajira ya Kiswahili, siyo tu Marekani, bali ulimwenguni kote. Wapo Watanzania wengi sana wanasomesha lugha yetu ya taifa kwenye nchi mbalimbali Afrika, Ulaya, China, na hata Japani
Nchi yetu kwa sasa, ukanda wa Afrika mashariki na kati, inaongoza kwa utulivu, uongozi bora, uchapakazi, na maendeleo na hata ukuaji wa demokrasia & diplomasia ya uchumi, siasa na mahusiano ya kimataifa. Hatuna hofu kujinasibu kama kisiwa cha amani na pia kisiwa cha amana ya ustawi na biasharaJapani ni nchi
Biashara ya ngono ni haramuNchi yetu kwa sasa, ukanda wa Afrika mashariki na kati, inaongoza kwa utulivu, uongozi bora, uchapakazi, na maendeleo na hata ukuaji wa demokrasia & diplomasia ya uchumi, siasa na mahusiano ya kimataifa. Hatuna hofu kujinasibu kama kisiwa cha amani na pia kisiwa cha amana ya ustawi na biashara
Haramu siku zote tamuBiashara ya ngono ni haramu
Tamu eti huwa wanasema ni fupiHaramu siku zote tamu
Fupi ni muhindi mmoja alikuwa pale arushaTamu eti huwa wanasema ni fupi
Arusha mji wa maraha, napamiss sanaFupi ni muhindi mmoja alikuwa pale arusha
Sanasana watu hupenda kutembeleana wakati wa sikukuuArusha mji wa maraha, napamiss sana
Sanasana watu hupenda kutembeleana wakati wa sikukuu
Gani? Sikukuu ya wapendanaoSikukuu gani?
Gani? Sikukuu ya wapendanao
Wapi kivipi?Wapendanao wapi?
Wapi kivipi?
Wapi kivipi?
[emoji23][emoji23] unacheka nini?[emoji23] [emoji23]
Nini hutokea pale mwanadamu anapokufa?[emoji23][emoji23] unacheka nini?
Kufa kufaanaNini hutokea pale mwanadamu anapokufa?
Kufaana kwa dhiki ndio urafikiKufa kufaana
Urafiki siu afikiKufaana kwa dhiki ndio urafiki