Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kuzama katika lugha ni kigezo cha ajira ya Kiswahili, siyo tu Marekani, bali ulimwenguni kote. Wapo Watanzania wengi sana wanasomesha lugha yetu ya taifa kwenye nchi mbalimbali Afrika, Ulaya, China, na hata JapaniSote tunaweza kuzama