fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
nijuavyo makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar amekufa kwa covid-19 na sio changamoto za upumuajiNini iyo kwio ni profile picture nijuavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nijuavyo makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar amekufa kwa covid-19 na sio changamoto za upumuajiNini iyo kwio ni profile picture nijuavyo.
Upumuaji ni ugonjwa Mpya wa bongo....nijuavyo makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar amekufa kwa covid-19 na sio changamoto za upumuaji
Upumuaji ni moja ya changamoto lakini,covid inaambatana na changamoto hiyo.nijuavyo makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar amekufa kwa covid-19 na sio changamoto za upumuaji
Upumuaji ni moja ya changamoto lakini,covid inaambatana na changamoto hiyo.
Covid 19 ipo lakini inafifishwa.Changamoto inapamba zaidi kama hujachukua hatua ya kujikinga na covid 19
Inafifishwa law nguvu za Dua'a na maombi..Covid 19 ipo lakini inafifishwa.
Maombi yapo lakini utashi pia utumike.Inafifishwa law nguvu za Dua'a na maombi..
Utumike weledi na uzoefu ktk kutuliza munkari..Maombi yapo lakini utashi pia utumike.
Munkari ni asili wachache wanaweza kuituliza kuficha jambo kunaleta Munkari zaidi huoni taharuki ya kutaka kujua jambo itaongezeka?Utumike weledi na uzoefu ktk kutuliza munkari..
Itaongezeka kipato cha nchi wapo kodi itatozwaMunkari ni asili wachache wanaweza kuituliza kuficha jambo kunaleta Munkari zaidi huoni taharuki ya kutaka kujua jambo itaongezeka?
Itatozwa ndio kwa kua serikali hii kauli ya kumthamini mnyonge imekua kumfanya ale mlo Mmoja lakini alipe kodi.Itaongezeka kipato cha nchi wapo kodi itatozwa
Kodi kodi jamani ndgzangu hebu eleweni duniani kote na mataifa yote yanatoza kodi...Itatozwa ndio kwa kua serikali hii kauli ya kumthamini mnyonge imekua kumfanya ale mlo Mmoja lakini alipe kodi.
Kodi ni kitu kipo miaka na miaka lakini kodi za sasa zimebadilika hapa Nnchini, kuna vitu haviitaji kodi lakini sasa ivi utalipia.Kodi kodi jamani ndgzangu hebu eleweni duniani kote na mataifa yote yanatoza kodi...
Utalipia ili upate kuhudumiwa na kujengewa miundombino stahiki...Kodi ni kitu kipo miaka na miaka lakini kodi za sasa zimebadilika hapa Nnchini, kuna vitu haviitaji kodi lakini sasa ivi utalipia.
Stahiki yangu sijapewa mpka leoUtalipia ili upate kuhudumiwa na kujengewa miundombino stahiki...
Leo taifa lipo ktk taharuki ya misiba ya viongozi wetuStahiki yangu sijapewa mpka leo
Viongozi Wetu wana huruma sana na upole !!Leo taifa lipo ktk taharuki ya misiba ya viongozi wetu
Upole! Sijauona kwaoViongozi Wetu wana huruma sana na upole !!
Kwao ni wapi nami nataka kwenda.Upole! Sijauona kwao