Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Nataka kwenda nawe ulipo dhamiriaKwao ni wapi nami nataka kwenda.
Dhamiria katika kuchukua hatua thabiti kukabiliana na changamoto za upumuajiNataka kwenda nawe ulipo dhamiria
Nadhamiria kwenda kuhani msiba,je utaweza kwendaNataka kwenda nawe ulipo dhamiria
Kwenda kufanyaje embu kaa nyumbani kuepuka coronaNadhamiria kwenda kuhani msiba,je utaweza kwenda
Corona inakula keki ya taifaKwenda kufanyaje embu kaa nyumbani kuepuka corona
Corona tutaishinda kwa nguvu za kiza..Kwenda kufanyaje embu kaa nyumbani kuepuka corona
Kiza kingi huondoa nuruCorona tutaishinda kwa nguvu za kiza..
Nuru imetanda juu ya wapendanaoKiza kingi huondoa nuru
Nuru iliyopo ni kuendelea kuondoa HOFU & kuchukua tahadhari na kumtegemea MolaKiza kingi huondoa nuru
Mola karimu atatulinda na kutuwezeshaNuru iliyopo ni kuendelea kuondoa HOFU & kuchukua tahadhari na kumtegemea Mola
Kutuwezesha hapana labda kutubarikiMola karimu atatulinda na kutuwezesha
Kutubariki baada ya kutuwezesha sisi tulipofikiaKutuwezesha hapana labda kutubariki
Lunch timeKutubariki baada ya kutuwezesha sisi tulipofikia
Laa sivyo hakuna free Lunch
Lunch time natoa ofa ya restsurant jijini kwa membaz wa uzi huu pamojaLunch time
Lunch time natoa ofa ya restsurant jijini kwa membaz wa uzi huu pamoja
Uwapendao haswa toka enzi za utoto...Pamoja na wote uwapendao
Utoto raha sanaUwapendao haswa toka enzi za utoto...
Sanawari ni sehemu ilipo ile hotel iliyofungiwaUtoto raha sana
Sanawari ni sehemu ilipo ile hotel iliyofungiwa
Ganiki ni nini?Sababu ya madeni ama tatizo gani?