Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Kitu gani kiboreshwe kwenye maisha ya watanzaniaMoto huu ulioanza kuwaka pasipo kuwasha unatuashiria kitu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu gani kiboreshwe kwenye maisha ya watanzaniaMoto huu ulioanza kuwaka pasipo kuwasha unatuashiria kitu gani
Watanzia tuchukue tahadhari dhidi ya hili jangaKitu gani kiboreshwe kwenye maisha ya watanzania
Janga lilikuwa ukimwi tu haya mengone cha mtotoWatanzia tuchukue tahadhari dhidi ya hili janga
Mtoto mlee vizuri usimuache aende lunch na majiraniJanga lilikuwa ukimwi tu haya mengone cha mtoto
Majirani wanafikiMtoto mlee vizuri usimuache aende lunch na majirani
Wanafiki ndio wametufikisha hapa hawasemi ukweliMajirani wanafiki
Ukweli haupendwiWanafiki ndio wametufikisha hapa hawasemi ukweli
Haupendwi na yule mpenzi wako, muache unapoteza muda tuUkweli haupendwi
Muda tu nimeachana naeHaupendwi na yule mpenzi wako, muache unapoteza muda tu
Naenda kumuuliza kama kweliMuda tu nimeachana nae
Kweli ndg now naendelea na maishaNaenda kumuuliza kama kweli
Maisha hayaeleweki kabisa dereva anaendesha lori ovyo ovyoKweli ndg now naendelea na maisha
Hovyo hovyo badae itakuja kuwa boraMaisha hayaeleweki kabisa dereva anaendesha lori ovyo ovyo
Bora iwe sasa isisubiri baadayeHovyo hovyo badae itakuja kuwa bora
Baadaye patachimbika uharamia tusipo wadhibiti..Bora iwe sasa isisubiri baadaye
Wapatanishaji sio waungwana asiye na nguvu hana hakiBaadaye patachimbika uharamia tusipo wadhibiti..
..
Haki italindwa kwa sheria, Kanuni na katiba..Wapatanishaji sio waungwana asiye na nguvu hana haki
Katiba hii ni mbovu sana tuungane tudai katiba mpyaHaki italindwa kwa sheria, Kanuni na katiba..
Mpya kinyemi au mpya ni bughudha..Katiba hii ni mbovu sana tuungane tudai katiba mpya
Bughudha imeharibu utaratibu mzuri tuliojiwekeaMpya kinyemi au mpya ni bughudha..