Kali ya mwaka imenitokea leoTusivae makoti wakati wa jua kali
Nani unamtafuta zaidi yangu ABJ tumetoka mbali !!Inatugombanisha na kina nani?
Jua kali linafanya tutokote ...Tusivae makoti wakati wa jua kali
Leo siwezi lala pekee yangu nitaumbuliwa..Kali ya mwaka imenitokea leo
Nitaumbuliwa na aliyeniumba tu, wengine wanajisumbua bureLeo siwezi lala pekee yangu nitaumbuliwa..
Bure si bure ninawazinguwa..Nitaumbuliwa na aliyeniumba tu, wengine wanajisumbua bure
Ninawazingua??acha hzi mambo kabisa,kaa kwa kutuliaBure si bure ninawazinguwa..
Kutulia kwake ni hadi atake mwenyeweNinawazingua??acha hzi mambo kabisa,kaa kwa kutulia
mwenyewe aliyataka,lakini mapema tulimuonya,Sasa aache kutuliliaKutulia kwake ni hadi atake mwenyewe
Kutulilia sisi ni kazi bure, hatukusikilizi ng'o!mwenyewe aliyataka,lakini mapema tulimuonya,Sasa aache kutulilia
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ng'ombe hanenepi siku ya mnadaKutulilia sisi ni kazi bure, hatukusikilizi ng'o!
Mnada wa kesho utakuwa wapiNg'ombe hanenepi siku ya mnada
Wapi pa kuegesha ili nipumzikeMnada wa kesho utakuwa wapi
Pumzika popote hii nchi ni huruWapi pa kuegesha ili nipumzike
Kutulilia ataendelea misiba ni mingimwenyewe aliyataka,lakini mapema tulimuonya,Sasa aache kutulilia
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huruma ni mbaya isipokua na kiwangoHuru plus ma is equal to huruma
Kiwango chako katika mechi kimeshuka sanaH
Huruma ni mbaya isipokua na kiwango
Sana sana hichi kipindi cha hivi karibuniKiwango chako katika mechi kimeshuka sana
Karibuni sana kwanguSana sana hichi kipindi cha hivi karibuni