Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kwangu kunawapa ahweni na heshima na taadhima..Karibuni sana kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu kunawapa ahweni na heshima na taadhima..Karibuni sana kwangu
Taadhima ipi unayoizungumziaKwangu kunawapa ahweni na heshima na taadhima..
Unayoizungumzia ndiyo habari yenyewe hasa, kuwa tusiache kuchukua tahadhariTaadhima ipi unayoizungumzia
Tahadhari na onyo si yanaendana??Unayoizungumzia ndiyo habari yenyewe hasa, kuwa tusiache kuchukua tahadhari
Tahadhari iwe ni wajibu tosha ktk zoezi la kupambanaUnayoizungumzia ndiyo habari yenyewe hasa, kuwa tusiache kuchukua tahadhari
Yanaendana ila kila janga na wakati wake maalumuTahadhari na onyo si yanaendana??
Maalumu kwa wageni waalikwa na ndugu wa karibuYanaendana ila kila janga na wakati wake maalumu
Karibu tupate chaiMaalumu kwa wageni waalikwa na ndugu wa karibu
Sana sana kwa sababu ya changamoto ya kupumuaKiwango chako katika mechi kimeshuka sana
Kupumua kwa kutumia mashineSana sana kwa sababu ya changamoto ya kupumua
Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha kaziKupumua kwa kutumia mashine
kazi zenyewe ndiyo hizoMashine ni kitu chochote kinachorahisisha kazi
Hizo nazo ni adimu hupatikana sokoni...kazi zenyewe ndiyo hizo
Hizo huzijui, usinidangayekazi zenyewe ndiyo hizo
Hizo huzijui, usinidangaye
Unaoongelewa wapi mbona hatujasikia popote mkuu?Usinidanganye najua ukweli unaoongelewa
Mkuu haongelei ukweli wowote tatizo ubabe.Unaoongelewa wapi mbona hatujasikia popote mkuu?
Ubabe wa nini ubabe una wenyewe, maswahiba hawatishaniMkuu haongelei ukweli wowote tatizo ubabe.
Ubabe umekufanya usionekane humu kwa muda mrefuMkuu haongelei ukweli wowote tatizo ubabe.
Mrefu kama mti wa mnazi au wa mtendeUbabe umekufanya usionekane humu kwa muda mrefu