onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikombe cha Babu wa Loliondo kilikutwa kitamu?Kulipokea utaweza wewe Zamiluni Zamiluni au tumpe Thad kikombe
Kitamu kipapa cha Paulaa...Kikombe cha Babu wa Loliondo kilikutwa kitamu?
paulaa mtoto wa mmakonde
Mmakonde katoka wap tena jamani,si tumekubaliana tusiongee haya mambopaulaa mtoto wa mmakonde
Mambo gani hayo tuambieMmakonde katoka wap tena jamani,si tumekubaliana tusiongee haya mambo
Mambo ya kitoto ameletea jamaa hapo juu uzi sio wa matangazo anatuwekea tangazotuambie[emoji44]!!?!! kwani wewe unaishi wapi,Kama vipi potezea ni Mambo ya kitoto.
Tangazo ni muhimu maana kufa nje njeMambo ya kitoto ameletea jamaa hapo juu uzi sio wa matangazo anatuwekea tangazo
Nje ya mada ya wa mwisho ndio mshindi,akatangaze jukwaa la matangazoTangazo ni muhimu maana kufa nje nje
Matangazo ya biashara yana faida na hasaraNje ya mada ya wa mwisho ndio mshindi,akatangaze jukwaa la matangazo
Matangazo ya biashara yana faida na hasara
Tulioukataa uteuzi tuna hali mbayaHasara ndo ujinga tulioukataa
Tulioukataa uteuzi tuna hali mbaya
Ushindi leo ni wa Al-Ahly ya misri huko kwa Firauni !!Tena bora mimi kuliko wewe ukipata ushindi
Nani mkaliFirauni ni nani?
Simba leo anacheza lakini sina hata furaha mana hao waarabu wanaupiga kama mbele dahMkali simba