misedemideheki
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 246
- 448
Simba leo anacheza lakini sina hata furaha mana hao waarabu wanaupiga kama mbele dahMkali simba
Dah nina usingizi mchana huuSimba leo anacheza lakini sina hata furaha mana hao waarabu wanaupiga kama mbele dah
Huu mchana si wakulalaDah nina usingizi mchana huu
Wakulala ni watoto wazee na wagonjwa tuHuu mchana si wakulala
Tu ma na yakutoleaWakulala ni watoto wazee na wagonjwa tu
Yakutolea vitendea kazi leo waMisri watavigawa hadharaniTu ma na yakutolea
Hadharani kajisaidia bila hata ya kuona aibuYakutolea vitendea kazi leo waMisri watavigawa hadharani
Aibu kitu gani bana, si tangaza tu!Hadharani kajisaidia bila hata ya kuona aibu
tumewanyoosha,warabu..yeboyebo mbona mmeshikwa na aibu!!![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Aibu kitu gani bana, si tangaza tu!
Waarabu wamekalia kimokoWanyoosha waraabu
Kimoko Dally...mpiga gitaa wa KikongoWaarabu wamekalia kimoko
Kikongo kinazungumzwa DRC
Mopao MokonziDRC ndo anakotoka Papaa mopao
Mokonzi na ngai oza likonziMopao Mokonzi
Mokonzi na ngai oza likonzi
Mokonzi ni neno halina sehemu wala maana ktk kamusi la kiswahili hapa Bongoland..Likonzi oza ngai na mokonzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Bongoland ukitoa neno land kuna mji huko ktk nchi za magharibi unaitwa bongo unajua hiloMokonzi ni neno halina sehemu wala maana ktk kamusi la kiswahili hapa Bongoland..