Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Hilo nalifahamu kuwa raisi wa nchi ya Gabon alitwa Ali O. Bongo!!Bongoland ukitoa neno land kuna mji huko ktk nchi za magharibi unaitwa bongo unajua hilo
Bongo! Pia kuna Sehemu huko, arusha ungalimited panaitwa hivyoHilo nalifahamu kuwa raisi wa nchi ya Gabon alitwa Ali O. Bongo!!
Hivyo ndivyo walivyo koshwa bongo !!Bongo! Pia kuna Sehemu huko, arusha ungalimited panaitwa hivyo
bongo wengine wanajua unamaanisha Tz kumbe ni dar es salaamHivyo ndivyo walivyo koshwa bongo !!
Dar es salaam jiji lililo shamiri mambo kedekedebongo wengine wanajua unamaanisha Tz kumbe ni dar es salaam
Kedekede kwani amesemaje?
Anaongea nini wakati simba ameshinda leoAmesemaje...Kwani alikuwa anaongea?
Njaa ya akili ni mbaya kuliko njaa ya tumbo.Anaongea nini wakati simba ameshinda leo
Tumbo kubwa huitwa Fridji au kitambi.Njaa ya akili ni mbaya kuliko njaa ya tumbo.
Leo Dr Mpango ameongea na waandishi wa habari na kusema ameushinda ugonjwa na yupo tayari kurudi kaziniAnaongea nini wakati simba ameshinda leo
Kazini kutaendelea kuwa kazini nasi tutafakariLeo Dr Mpango ameongea na waandishi wa habari na kusema ameushinda ugonjwa na yupo tayari kurudi kazini
Tutafakari namna ya kuishi katika jamiiKazini kutaendelea kuwa kazini nasi tutafakari
Jamii ndiyo sisi tuakisi Tabia na hulka zenye maadili muruwa
Muruwa maana yake nini?Jamii ndiyo sisi tuakisi Tabia na hulka zenye maadili muruwa
Nini maana ya Muruwa ? Maana yake "kizuri" (beautiful) hutumika wakati wa kupamba mazungumzo !!Muruwa maana yake nini?
Mbote!Mokonzi na ngai oza likonzi
Mazungumzo yetu yanaishia hapa kwa leoNini maana ya Muruwa ? Maana yake "kizuri" (beautiful) hutumika wakati wa kupamba mazungumzo !!
Mbote!ndio nn tenaMbote!
tena mimi nilifikiri unaelewa kikongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbote!ndio nn tena