Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
((Ahssante umetoa point na jibu Zuri sana!!))Nyani!! Hapana mkuu hiyo ni nadharia ya uongo mbona leo hawaendelei kubadilika?
Aisee kweli kabisa labda ni bodaboda yakeAjabu sana wee ndg. T990ELY yaani id yako kama modeli ya bodaboda ? Aisaee..
Bodaboda yake ina matatizo ya kuvuja mafuta..Aisee kweli kabisa labda ni bodaboda yake
Mafuta ya kupikia bado bei yake ipo juuBodaboda yake ina matatizo ya kuvuja mafuta..
Mafuta ya kupikia yamekua ghali sana sikuhizi za usoniBodaboda yake ina matatizo ya kuvuja mafuta..
Usoni mwako pamekakamaa kama ngozi iliyokaukaMafuta ya kupikia yamekua ghali sana sikuhizi za usoni
Iliyokauka sana huwa ni tamu mno hasa ukiila na chumviUsoni mwako pamekakamaa kama ngozi iliyokauka
Chumvini mabaharia wanapiga mbizi bila wasiwasiIliyokauka sana huwa ni tamu mno hasa ukiila na chumvi
Wasiwasi ni kwamba huko chumvi nasikia unaweza patwa na gonjwa la kansaChumvini mabaharia wanapiga mbizi bila wasiwasi
Kansa ya kooWasiwasi ni kwamba huko chumvi nasikia unaweza patwa na gonjwa la kansa
koo la jogoo ni diliKansa ya koo
Mwanasisa ndio kitu gani?Dili ni kuwa mwanasisa
Kitu gani unaweza kufanya ukiwa peke yakoMwanasisa ndio kitu gani?
Yako njia upitayo jion ukirudi nyumbani imefungwaKitu gani unaweza kufanya ukiwa peke yako
Imefungwa mnyororo wa chumaYako njia upitayo jion ukirudi nyumbani imefungwa
Chuma mboga inapendwa sanaImefungwa mnyororo wa chuma
Sana ni ujingaChuma mboga inapendwa sana
Ujinga ni kuita corona nimonia ili tu kuficha tatizo ambalo si siriSana ni ujinga
Siri zikifichuka hapa tutakimbianaUjinga ni kuita corona nimonia ili tu kuficha tatizo ambalo si siri