Mnada utaanza mapema asubuhiHapa tumekusanya bidhaa mbalimbali kesho vitapigiwa mnada !!
Asubuhi moja juma lijalo lazima wazushi na wafitini wajae soni, fedheha & aibu ya mwakaMnada utaanza mapema asubuhi
Mwaka wenye unabii wa kutishaAsubuhi moja juma lijalo lazima wazushi na wafitini wajae soni, fedheha & aibu ya mwaka
Kutishatisha watoto wadogo ina sababisha kuwadhuru magonjwa suguMwaka wenye unabii wa kutisha
Kutishatisha watoto wadogo ina sababisha kuwadhuru magonjwa sugu
Sanaa za kizazi kipya ni majanga mzigo!!!Sugu enzi zake alivuma katika sanaa
Wengine nami ni mmoja wao kusimamia haki..
Haki hamna siku hizi ni maneno tu yamekuwa mengiWengine nami ni mmoja wao kusimamia haki..
Mengi hayana maana kuyasikia
Hajambo,kiboboso unatuharibia uzi bhana acha ujinga kama huelewi uliza
Uliza kama hujaelewa matumizi/utaratibu wa kuchangia huu uzi mkuu kibobosoHajambo,kiboboso unatuharibia uzi bhana acha ujinga kama huelewi uliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekosea wapi mrembo?Hajambo,kiboboso unatuharibia uzi bhana acha ujinga kama huelewi uliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrembo mm??hebu pitia uzi vzuri angalia watu wanachoandika,acha kujitoa ufahamu
Nimeangalia lakini sijaelewa mnazungumzia mada gani...Mrembo mm??hebu pitia uzi vzuri angalia watu wanachoandika,acha kujitoa ufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Gani ni swali au jibu,ww angalia neno la mwisho halafu unga sentensi kutokakana na hilo neno la mwishoNimeangalia lakini sijaelewa mnazungumzia mada gani...
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ooh mwisho nimeelewa sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Gani ni swali au jibu,ww angalia neno la mwisho halafu unga sentensi kutokakana na hilo neno la mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app